Makonda ana kosa la kujibu

Makonda ana kosa la kujibu

Watu wa vijijini mnamatatizo ya ufahamu. Muwe mnaangalia hata TV. Siyo kuzusha habari za uongo. Wewe nadhani ni miongoni mwa wauza madawa ya kulevya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzigo wenyewe ndio huu? Naona una trend mitandaoni View attachment 853928
IMG-20180901-WA0063.jpg
IMG-20180901-WA0067.jpg


Jr[emoji769]
 
Picha hizo hazina uhusiano na tukio. Tabia za kuchomekea vitu. Bahati nzuri pale bandarini nilikuwepo lbd udanganye wa vijijini kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sibishani na wewe nilikuwa nataka tu ufafanuzi kwakuwa hizo picha zinatrend mitandaoni... Halafu sio jambo jema kuwadharau watu unaowaita wa vijijini ni utovu wa nidhamu na kukosa hekima... Ukiwa muungwana utaomba radhi na kufuta kauli yako

Jr[emoji769]
 
Mimi kama shuhuda nimecheka sana kwani wapambe wanachanganya matukio kwa makusudi. [emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
Je unataka tu kuweka ukweli bayana au kuna zaidi? Maana kuna post moja umei repost kama mara saba hivi... Yani hii imevunja record JF nzima... Sijawahi kuona post ikiwa resposted mara nyingi hivyo
Screenshot_20180902-041822.jpg


Jr[emoji769]
 
Hivi kuna mpaka Matrekta ndani.
Siamini kama kuna kiongozi angeweza anaweza kufanya uhuni huo awamu hii bila kushughulikiwa. Huonda ni ishu inayojulikana au kuna wapambe nyuma yake .
Lakini pia kama ni kweli kuwa kuna Matrekta basi ni vizuri Bunge lijalo likaunda Tume ya kulichunguza suala hili kwa undani.
Kuna jambo kubwa limefichika nyuma yake.

Hua ni kawaida kwenye manunuzi makubwa kama ambayo yamefanyika kwa kipindi hiki ,makampuni yanayoingia mikataba wanatoa kamisheni Fulani kama shukrani ya kuwaunganishia biashara zao.
Sasa huenda Kamisheni hizo imekua vigumu kuziingiza kama fedha Taslim kutokana na awamu hii kujipambanua kuwa inapambana na ufisadi badala yake wajanja wakaangalia namna ya kuziingiza kidogo kidogo huku wakijifanya kuwa wanasaidia kununua makochi ya walimu kukalia darasani.

Hii misaada inayeoingia kupitia watu binafsi inabidi serikali iwe macho sana.

Kuna ishu nyingine ya Ujenzi wa Chuo cha VETA kupitia Musiba kwa kauli zake za kuunga mkono serikali.
Eti watanzania waishio Marekani wanataka kujenga Chuo Kikubwa cha VETA kuliko vyote kusini mwa jangwa la sahara.

Chuo kikubwa kama Cha Chang'ombe kinahitaji mabilioni mengi sana ya fedha. Ukubwa wa chuo ni miundo mbinu. Miundo mbinu ya vyuo vya ufundi ni gharama kubwa sana. Je ,kuna watanzania waishio Marekani wameona biashara kubwa ya VETA wakaamua kuwekeza au ni wajanja wachache wanakuja na mbinu zao za kutakatisha Fedha hasa baada ya kuona awamu hii imejitahidi kubana uingizwaji wa fedha haramu zinazotokana na takrima kwa baadhi ya watendaji kupewa asante.

Kwa sababu tujiulize tu Mawaziri hawajatoka toka huko nje hasa Marekani na pia Rais wetu hajawahi kusafiri kwenda nje ya bara la Afrika sasa hayo mazawadi nani anapewa na anapewa kwa makubaliano gani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wa Dsm alienda kuwawakilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kupotosha umma, sisi tulikuwepo. Yale matrecta siyo ya makonda ni Mali za watu wengine walioshindwa kulipia ushuru pale bandarini. Ukome kueneza Habari usioijua. Wewe ni mpuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo makontena tangu yaje hapo mpaka yanafunguliwa wewe uliyachunga ?
Baba kule alisema ndani mna makochi unamaana alikuwa anadanganya ? Wewe ndiyo mkweli kuliko baba ?? Kwa tafsiri hiyo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom