Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Mimi nataka awe kama Magufuli, miradi mwanzo mwisho..., namna pekee ya kumfufua Magufuli ni kumpa Makonda Urais...., there is still hope for this country after all1. Huyu bwana kwanza anaipenda siasa.
2. Anapenda kuongea
3. Hachoki kuongea
4. Hachoshi akiwa anaongea na wananchi.
Basi tu ila nchi yetu inahitaji viongozi kama hawa.
Tungeongezea na nguvu akina Sabaya na Happy ni dakika sifuri CCM inakwenda kunyoka.
Lakini tuondoe na janjajanja zisizo na msingi tuwatumikie wananchi.
Timu Msoga aliyoita Polepole ....ndiyo walitaka kumwangusha mama1. Huyu bwana kwanza anaipenda siasa.
2. Anapenda kuongea
3. Hachoki kuongea
4. Hachoshi akiwa anaongea na wananchi.
Basi tu ila nchi yetu inahitaji viongozi kama hawa.
Tungeongezea na nguvu akina Sabaya na Happy ni dakika sifuri CCM inakwenda kunyoka.
Lakini tuondoe na janjajanja zisizo na msingi tuwatumikie wananchi.
Mimi nataka awe kama Magufuli, miradi mwanzo mwisho..., namna pekee ya kumfufua Magufuli ni kumpa Makonda Urais...., there is still hope for this country after all
Acha chuki brother.., ni sawa na kupiga chura teke..bashite hana haina ya Uraisi.
..hatuwezi kuongozwa na mwanaume mwenye makalio na maungo kama watoto wa kike.
Acha chuki brother.., ni sawa na kupiga chura teke
Hhaaaaaa, weeee, komaaa!..wewe inaelekea unapenda hayo makalio makubwa kuliko nchi yako.
..mtu kama Bashite kuwa Raisi maana yake nchi inashuka viwango.
1. Huyu bwana kwanza anaipenda siasa.
2. Anapenda kuongea
3. Hachoki kuongea
4. Hachoshi akiwa anaongea na wananchi.
Basi tu ila nchi yetu inahitaji viongozi kama hawa.
Tungeongezea na nguvu akina Sabaya na Happy ni dakika sifuri CCM inakwenda kunyoka.
Lakini tuondoe na janjajanja zisizo na msingi tuwatumikie wananchi.
Kama ya maza ako?..bashite hana haina ya Uraisi.
..hatuwezi kuongozwa na mwanaume mwenye makalio na maungo kama watoto wa kike.
Kama ya maza ako?