zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,567
- 40,648
Wanalindwa tu na polisi ila wao kama wao ni wepesi mnoo.Unadhani CCM ni wanyonge?
Wanalindwa tu na polisi ila wao kama wao ni wepesi mnoo.Unadhani CCM ni wanyonge?
95 chadema ilikuwa na madiwani kata gani?Chadema ilishakua na wabunge,madiwani na halmashauri kadhaa tokea 1995. Hao chaumma wana diwani hata mmoja?
Samia hata bila campaign angeshinda tu maana anagombea mwenyewe. So usimpe makonda sifa kwenye hamnazo, hana ushawishi wowote kwa wasukuma in fact wanamuona msaliti tu.
Kila sehemu unapost huu waraka uliojaa upuuzi na unafiki mwingi kutoka kwenye vigroup vyenu wa waislamu walamba makalio ya Samia.Amani ya Nchi kwanza
Kabwe, karatu, Tarime/Rorya, ujiji n.k95 chadema ilikuwa na madiwani kata gani?