Makonda aamua kutoboa mtumbwi wazame wote

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,798
71,218
Katika kikao chake na watendaji na Viongozi wa mkoa wa Dar, RC aliye laumiwa kwa utendaji mbovu na Rais Magufuli ameonyesha nia ya kuhakikisha haondoki pekee bali wakati akisubiri hatima yake atakuwa kesha toboa mtumbwi na wanazama wote.

Kikao hicho cha Leo alionyesha wazi kuwa anapanga kutupia lawama viongozi wengine na yeye kujivua lawama hizo.

Makonda alishakuwa kama "toto" lililo dekezwa, hajui kukosolewa bali alizoea kusifiwa na Rais kiasi cha kukosolewa kidogo roho inaumia na anakosa usingizi kabisa.

Pengine hatua hii ya kutupa lawama kwa wengine inaweza kumponya na hatua zilizokuwa zimepangwa juu yake.

Naona hata mitandao ya kijamii ya Mwananchi online na Milladi Ayo tayari imeshalipwa kumpigia promo kama vile ni matangazo ya biashara kumnadi Makonda.

Makonda usitupie lawama wengine, wewe unatumia nguvu nyingi kwenye mambo ya kiki kama ndoa, kupima tezi dume,kiki za wasanii uchwara nk, ambayo sio ya maendeleo. Kiukweli wewe ni total failure, bahati ni kuwa mteuzi umemdhibiti na hafurukuti mbele yako.

Makonda piga kazi mti wenye matunda ndio hupigwa mawe, tuwasiliane mkuu wa mkoa ukipita hapa mimi ni mfuasi wako mtiifu
 
Katika kikao chake na watendaji na Viongozi wa mkoa wa Dar, RC aliye laumiwa kwa utendaji mbovu na Rais Magufuli ameonyesha nia ya kuhakikisha haondoki pekee bali wakati akisubiri hatima yake atakuwa kesha toboa mtumbwi na wanazama wote.

Kikao hicho cha Leo alionyesha wazi kuwa anapanga kutupia lawama viongozi wengine na yeye kujivua lawama hizo.

Makonda alishakuwa kama "toto" lililo dekezwa, hajui kukosolewa bali alizoea kusifiwa na Rais kiasi cha kukosolewa kidogo roho inaumia na anakosa usingizi kabisa.

Pengine hatua hii ya kutupa lawama kwa wengine inaweza kumponya na hatua zilizokuwa zimepangwa juu yake.

Naona hata mitandao ya kijamii ya Mwananchi online na Milladi Ayo tayari imeshalipwa kumpigia promo kama vile ni matangazo ya biashara kumnadi Makonda.

Makonda usitupie lawama wengine, wewe unatumia nguvu nyingi kwenye mambo ya kiki kama ndoa, kupima tezi dume,kiki za wasanii uchwara nk, ambayo sio ya maendeleo. Kiukweli wewe ni total failure, bahati ni kuwa mteuzi umemdhibiti na hafurukuti mbele yako.

Duuh siasa za Tanzania zimekuwa za kishamba sana na ulimbukeni
 
IMG_0595.JPG

Nadhan amesahau alivyo mchongea mkurugenzi wa watu hadi akopteza maisha
 
Back
Top Bottom