COMMANDO wa israel anaweza ruka toka kwenye ndege bila kutumia parachute,na huku akitumia breathing techniques za yin and yang anaweza float hewani for sometime bila parachute kabla aja hit the ground
Hawa jamaa wanavaa visu maalum kiunoni kama nyongeza ya silaha nyingine wanazobeba. Tanzania wapo wa aina mbili kama sikosei. Walikuwepo banda la jeshi sabasaba 2010, na kipindi kile Brigadia GenM kabunda ndio alikuwa in charge. Inasemekana he also fought Kagera war, especial in the unit which cleared Amin elements wakati wanajenga daraja lililobomolewa. The guys are extremely good
Je, mafunzo yao ni kama Navy Seals wa Marekani waliomuua Osama!
Vitu kama ivi ndo mi navitaka to equate na hapa kwetu.
Mimi nimeshuhudia komandoo wa kiisrael alizunguukwa na Makomandoo wa Hizbullah, alijigeuza kuku ili akwepe ! Hata hivyo walimkamata na kumfanya kitoweo!COMMANDO wa israel anaweza ruka toka kwenye ndege bila kutumia parachute,na huku akitumia breathing techniques za yin and yang anaweza float hewani for sometime bila parachute kabla aja hit the ground
Ukitaka kuwajua makomandoo wa bongo kama ni wazuri au nyanya unaweza kuwapima kirahisi sana. Jikusanyeni kama watu 200 hivi halafu mvamieni mmoja akiwa peke yake. Baada ya jaribio hilo watakaonusurika watawasimulia marehemu mstakabali wa makomando wa bongo. Uganda walifanya majaribio mwaka 1978. Uchokozi wao ulisambaratisha kabisa majeshi yote ya Uganda na Raisi Idd Amini dada aliachiwa njia akimbie japokuwa makomandoo wetu wangeliweza kumkamata
Siku nyingine ukikutana na mtu wa hivyo kwenye daladala, hebu mwambie ''bwabwa wewe hebu sogea huko''
Halafu utakuja kutuambia kama ni commandoo kweli au ni komandoo Hamza kalala!!
Mimi nimeshuhudia komandoo wa kiisrael alizunguukwa na Makomandoo wa Hizbullah, alijigeuza kuku ili akwepe ! Hata hivyo walimkamata na kumfanya kitoweo!
Wakuu naomba kujua kama hawa makomandoo ni kama wale ambao huwa nawaona kwenye video.
Kuna mmoja nilipanda nae daladala la posta G/mboto na pale begani pameandikwa kabisa komandoo ,,, ,,,, ,,,.
Sasa napenda kujua mafunzo yao ni kama yale yenyewe kabisa? yani yani yani kabisa yani .....wanauwezo ule wa ukweli kabisa yani kama komando john zile yani?
Weka TBC 1 KAKA JAMBAZI UONE MAMBO.NITAKUWEKE PICHA YA MAKOMANDOO WAKIFANYA MAMBO YAO UWANJA WA UHURU.
mkuu myahudi kuruka bila parachute hiyo unainaje ? Hata Hollywood wameshindwa kuthubutu !Acha fix mkuu.
Mkuu niko mbali na tv, fanya lambolea kaka.
Mimi nimeshuhudia komandoo wa kiisrael alizunguukwa na Makomandoo wa Hizbullah, alijigeuza kuku ili akwepe ! Hata hivyo walimkamata na kumfanya kitoweo!
Angalia KWATA LAO - Very Interesting!