Makinikia ya Bulyang'ulu(Kakola) Mine

ulimi waupanga

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
470
1,162
Naomba ufafanuzi kidogo maana naona siku hizi makinikia yetu yanasombwa tu kama mwanzo yaani ni msururu wa makontaina kila baada ya siku kama 5 yanabebwa zaidi ya kontaina 100.

Watu wa apa Kakola tunajiuliza je ile smelter ya Dodoma ilishajengwa au yanapelekwa kule kule kwa mabeberu?
Na je kama yanasafirishwa kama zamani zile kilo za dhahabu tulizoambiwa zinaibiwa Kwenye ayo mamchanga tumeamua ziendelee kuibiwa?

Tafadhali mwenye ufafanuzi katika hili!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom