Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,401
- 4,707
Tulikuwa na kesi moja ngumu sana leo... Mwenzetu kasafiri huko makao makuu ya nchi, tamaa ikamshika, kaenda viungani akaopoa mrembo wa ukweli sana.. Wakafanya yao kwa siku tatu mfululizo alizokuwa huko! Hakunyimwa kitu...! Kapewa mahaba na ukoko wake ILA akadanganya mengi..! Moja kubwa akisema ana watoto lakini hana mke...!!! Ni wiki sasa anateseka na dunia...gearleaver imepaki.. Popo haliamki kwenda mawindoni.. True story....!!!
Pamoja na haja zetu
Pamoja na tamaa zetu
Pamoja na libido zetu...!!! Tafakuri ni muhimu sana..! Huko pahali kuna ushirikina wa kutosha sana...! Kuna mapepo, kuna mashetani, kuna majini, kuna viumbe roho nusu watu...!!!
KATAA KUBALI ushirikina upo.. Na manii zako ni malighafi inayohitajika mno huko kwenye ulimwengu wa giza...! Kumbuka pia hata nyota yako inawindwa...!
Mateka wa kiroho pia wanatafutwa kupitia ngono...! Kuna watumwa wa kutosha tu wanaotumikia mamlaka za siri bila ufahamu wao kupitia ma agent wa ngono..!!!
Tamaa ya maramoja inaweza kuvuruga future yako
Tamaa ya mara moja inaweza kusambaratisha familia yako
Tamaa ya mara moja inaweza kupoteza kazi yako
Tamaa ya maramoja inaweza kukugombanisha na marafiki wema
Tamaa ya mara moja inaweza kukupa ulemavu wa maisha kiroho na kimwili...
Dunia ni zaidi ya uijuavyo.. Si kila ukionacho ni halisi..! Usiku huu wa hii weekend kuna maingizo mapya kwenye hayo madhila... Kama ukifanikiwa kusoma hii mada..! Mungu akusaidie sana..!!!
Yangu ni hayo tuu...!!!.... MSTAAFU.!
Viashiria ni vingiHivi kuna dawa za kugutuka endapo ukakutana na mazingira sio kama kuvusha mizigo hio au hata mzigo wa kitaa ambao sio? Na ikuaje kitu kinagoma au miguu haiendi au unaambiwa sauti usiende, au unapigwa kofi bila kuona mtu hio ikoje ili uweze kuyashinda hayo maana maisha ndio haya lakini lazima yaendelee, karibu Ndugu La Proffessee Mshana
Ndugu mwenyekiti unataka kusemaje yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaume wanarogwa sana, ni watu wa kuwaonea huruma tu....
Mshana hivi manii zinazohitajika kumroga mwanaume ni zile fresh kutoka kwenye kichupa au hata zikishaingia nikazichota kwenye kakisima kangu zinafaa?
Kazi ninayo[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Tunaishi mara moja mkuu!
Hahaha, kazi tunayo!! Ila wife, we live once...au wewe utajigeuza uwe mdudu gani baada ya kutoweka duniani?Kazi ninayo[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Ngoja nimsubiri Evelyn Salt arudi nami niende, ushanishinda tabia.Hahaha, kazi tunayo!! Ila wife, we live once...au wewe utajigeuza uwe mdudu gani baada ya kutoweka duniani?
Asikupange, chukua malighafi weka kwenye kichupa tunane kesho πNgoja nimsubiri Evelyn Salt arudi nami niende, ushanishinda tabia.
Nasema hiviiii liwalo na liwe ππππNdugu mwenyekiti unataka kusemaje yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huku Yesu, huku huogopi kununia Malaya, mbona watuchanganya!!Yesu ndio jibu hayo mengine siogopi.
Enzi hizo mitaa ya uwanja wa fisi watu walikuwa hawagongi malaya wanagonga fisi ..wale malaya walikuwa wachawi sanaumesema kweli kabisa,nlikuwa nakaa maeneo flani hv kuna guest inalaza machangu tu wakitoka mawindo af kuna bar hapo,nliachaga biashara ya kuwanunua baada ya siku moja kuwasikia wakisema wanataka kwenda kwa mganga akambadilishie K mana ya mnyama aliyomwekea anaona haifai ana-feel kabisa anagongwa yeye,sa sijui iliwekwa ya mbuzi
Aaah kabisa, hamna namna tena.Nasema hiviiii liwalo na liwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuonane Sumbawanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Asikupange, chukua malighafi weka kwenye kichupa tunane kesho [emoji16]
Asili nilivyohadithiwa maana mie sio mwenyeji nilikuwaga mpitaji ktk harakati hapo ni uchafu (madhambi) kuwa mengi wakatumia tafsida "ufisi" wengine wanasema tabia ya wadada kutumia fisi , wengine wachawi walikuwa wanafuga fisi yaani kila mtu anasema lakeDuh ndio asili ya hilo jina? Kwasababu hiyo?
Ila la wanaume kunyandua nyuchi za fisi wakidhani ni wanyange mitaa hiyo linasemwasemwa sanaAsili nilivyohadithiwa maana mie sio mwenyeji nilikuwaga mpitaji ktk harakati hapo ni uchafu (madhambi) kuwa mengi wakatumia tafsida "ufisi" wengine wanasema tabia ya wadada kutumia fisi , wengine wachawi walikuwa wanafuga fisi yaani kila mtu anasema lake
Hilo ni kweliIla la wanaume kunyandua nyuchi za fisi wakidhani ni wanyange mitaa hiyo linasemwasemwa sana
Ndio hizo ukapande shambaniMbegu kwake shambani