SHAROBALO
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 771
- 349
Halow Jf!!
OK nilikuwa nafanya Research fulani kuhusu kutengeneza Pesa online kwa wenye Website,blogs,wapsites na Developers......etc
matokeo yakawa mengi ila short ni Kufanya matangazo Binafsi i mean Banner AD na Pay per click!! and blah blah..
katika angaalia zangu nikajua kuwa ni vizuri ukatumia website ambazo zinatangaza kwenye site yako na unalipwa mfano Google adsense yahoo etc..
sasa basi zote hizo zina option moja tu ya PAYPAL kama malipo nika angalia na kugundua kuwa paypal hapa kwetu bado ni ishu!!
nikaja nikapata hii ambayo inafanya kazi africa!!!! tena kenya walisha aanza zamaniiiiiii inaitwa www.buzzcity.com
angalia hapa kwa kenya na Tanzania No.1 Reference for Mobile Advertising Campaign Planner
jamaa wanalipa 0.14 usd per click....so unachotakiwa ni kuwavutia watu wengi watembelee site yako more visitor more MOney.
ukifikisha usd 200 yaani clicks kama 1400 hivi wanakutumia pesa kwenye AC yako uzuri wake zaidi ni kwamba wanakubali Bnk Transfer so si lazima Paypal.
More info here.. making money with buzzcity
Nawakilisha wakuu..
Je itatusaidia waTz kukamaata mkwanja!!...