Kuna kila dalili kuwa Spika Mstaafu, Mhe. Mama Anne Makinda kumrithi Dr. JK uenyekiti wa chama Tawala, hii inajidhirisha wazi kutokana na uzoefu wa mwanamama huyu shupavu katika medani za kisiasa hapa nchini.
Chanzo kinasema, Katika kuhakikisha hoja jinsia inazingatiwa Chamani ni wakati muafaka UENYEKITI kushikiliwa na Mwana Mama kaka ilivyo kwa Chama rafiki cha AFRICAN NATIONAL CONGRESS (ANC) nchini Afrika kusini kinachoongozwa na mwanamama mahiri Mhe. Baleka Mbete. Kwa CCM Hongera mama yetu mpendwa Mhe. Makinda.
Chama kimekupa heshima iliyotukuka. Kama mwanachama wa CCM nakaribisha mabadiliko haya kwa mikono miwili.
Maana tutakuwa tumefungua ukurasa mpya katika eneo la kuhakikisha Usawa wa kijinsia