Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Jibu hilo ni la upande Mmoja.Hajui kama huo utapeli unaofanywa na Wana-CCM umeibuliwa na Chadema?Atake asitake Chadema tunazidi kuiua CCM.Tumeikata Mikono na Miguu tunasubiri time ifike tukate kichwa na sehemu zake zote.
Kiwanda kinashamiri........
Kimeshamiri nini? majini, tende au halua?Kiwanda kinashamiri.
Kimeshamiri nini? majini, tende au halua?
Majini!?????:madgrin::madgrin::madgrin::madgrin::madgrin:Kinazalisha kupita uwezo wake.
Mama anajua kitu kinachoendelea na amejitahidi kuzungumzia ukweli kwamba
chama kinapotea kwa sababu ya mambo kadhaa aliyoyabainisha na nafikiri
chama bado kina hazina kubwa ya watu ambao wanaelewa mambo na wanatumia
nafasi hiyo kikikosoa.
Ni muda sasa umefika kuhakikisha kwamba mambo yanabadilika ndani ya chama
ili kuhakikisha kwambakinaenda na mabadiliko yanayohitajika.
Jibu hilo ni la upande Mmoja. Hajui kama huo utapeli unaofanywa na Wana-CCM umeibuliwa na CHADEMA?
Atake asitake CHADEMA tunazidi kuiua CCM.Tumeikata Mikono na Miguu tunasubiri time ifike tukate kichwa na sehemu zake zote.
........
chama si muhimu kwetu, kinaweza kufa tu. muhimu kwetu ni nchi.
ni kujisumbua kumpamba maiti......