Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 578
- 2,614
aliyeshiba hamjui mwenye njaaWakati kilio cha watu kukosa ajira hasa kwa vijana kikiendelea kushika kasi, Kamisaa wa Sensa Tanzania Bara, Anne Makinda, amesema kuna idadi kubwa ya wasomi wanaoishi kwa wazazi wao wakila bure kwa kutotaka kufanya shughuli za kuingizia kipato.
Makinda ametoa kauli hiyo leo ijumaa, Septemba 23, 2022 ambapo amesema jambo hilo halifurahishi kwa sababu elimu anayopata mtu anatakiwa aitumie kupambana na mazingira.
"Tumeambiwa kuwa elimu ni ufunguo wa maisha na wala sio ufunguo wa ajira, watu wanahangaika kila kukicha kusaka ajira" amesema
Kamisaa Makinda amesema idadi ya watu inazidi kuongezeka kila kukicha na mbaya zaidi wengi hawafanyi kazi.
“Ni jambo la kushangaza kuona wasomi hawapendi kujishughulisha na vitu vya kuwaingizia kipato, hawafanyi hata biashara wakati wasiosoma wanafanya shughuli za kuingiza kipato” amesema.
Ameongeza kuwa Sensa ya watu na makazi iliyofanyika mwezi uliopita itasaidia kupatikana kwa takwimu zitakazotumika kutunga sera mbalimbali.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Dk Batilda Burian, alimweleza Makinda kuwa makarani wa sensa wawili walifariki mkoani humo ambapo mmoja alijiua kutokana na matatizo ya kifamilia na mwingine alifariki akiwa katika nyumba ya wageni aliyofikia baada ya mafunzo ya siku 21.
Amesema mwingine alijeruhiwa baada ya kupata ajali wakati akienda kutuma taarifa za Sensa na mguu wake kushoto kusagika na hivyo kukatwa na hivi sasa wanafanya utaratibu wa kumtafutia mguu wa bandia.
Dk Batilda amesema awali walikadiria kuhesabu kaya 490,000 lakini hasa wanakamilisha walihesabu kaya 577,128 sawa na asilimia 118.
Chanzo: Mwananchi
Tumemsikia mama mawigi anayotuchamba.Haya kwenu nyie wasomi ambao ni kula kulala mmesikia hiyo
Ova
NakaziaHaya kwenu nyie wasomi ambao ni kula kulala mmesikia hiyo
Ova
Unamatatizo makubwa wewHivi mimi ndo sijui kuzidisha??
kaya 577,000× 5(wastani wa wanakaya)=2,850,000
kwo kwa haraka tuna watu 2850000 tu??
Ok nimewasahau wanafunzi wa boarding,kambini na gerezani lakini hizi kaya bado nnawasiwasi!!Unamatatizo makubwa wew
Maake hapo kwanza ncheke 🤣Utamkuta Prince Kunta nakadigrii kake ka sociology yuko yuko tu kwa shemeji yake waking'ang'ania remote na beki tatu kisa dada yake anamkingia kifua. Wakati uwani kuna eneo kubwa angalau angelima kabustani kambogamboga.
Ila yeye hajishangai miaka zaidi ya 50, yupo kwenye mfumo! Analipwa tu midhahara na podho nono akiwa kama bosi wa bima ya afya ya NHIF! Amekuwa mbunge tangu enzi za Nyerere! Mkuu wa Mkoa! Spika!Wakati kilio cha watu kukosa ajira hasa kwa vijana kikiendelea kushika kasi, Kamisaa wa Sensa Tanzania Bara, Anne Makinda, amesema kuna idadi kubwa ya wasomi wanaoishi kwa wazazi wao wakila bure kwa kutotaka kufanya shughuli za kuingizia kipato.
Makinda ametoa kauli hiyo leo ijumaa, Septemba 23, 2022 ambapo amesema jambo hilo halifurahishi kwa sababu elimu anayopata mtu anatakiwa aitumie kupambana na mazingira.
"Tumeambiwa kuwa elimu ni ufunguo wa maisha na wala sio ufunguo wa ajira, watu wanahangaika kila kukicha kusaka ajira" amesema
Kamisaa Makinda amesema idadi ya watu inazidi kuongezeka kila kukicha na mbaya zaidi wengi hawafanyi kazi.
“Ni jambo la kushangaza kuona wasomi hawapendi kujishughulisha na vitu vya kuwaingizia kipato, hawafanyi hata biashara wakati wasiosoma wanafanya shughuli za kuingiza kipato” amesema.
Ameongeza kuwa Sensa ya watu na makazi iliyofanyika mwezi uliopita itasaidia kupatikana kwa takwimu zitakazotumika kutunga sera mbalimbali.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Dk Batilda Burian, alimweleza Makinda kuwa makarani wa sensa wawili walifariki mkoani humo ambapo mmoja alijiua kutokana na matatizo ya kifamilia na mwingine alifariki akiwa katika nyumba ya wageni aliyofikia baada ya mafunzo ya siku 21.
Amesema mwingine alijeruhiwa baada ya kupata ajali wakati akienda kutuma taarifa za Sensa na mguu wake kushoto kusagika na hivyo kukatwa na hivi sasa wanafanya utaratibu wa kumtafutia mguu wa bandia.
Dk Batilda amesema awali walikadiria kuhesabu kaya 490,000 lakini hasa wanakamilisha walihesabu kaya 577,128 sawa na asilimia 118.
Chanzo: Mwananchi
Mkoa wa TaboraOk nimewasahau wanafunzi wa boarding,kambini na gerezani lakini hizi kaya bado nnawasiwasi!!
Elimu ni funguo wa maisha, mlango wa maisha upo wapi?kwamba Elimu sio ufunguo wa ajira!!Hawa mbwa wakisha Shiba, wanaona watoto wa watu wenye degree zao lakini wanaendesha boda boda, kama punguani vile?Wakati kilio cha watu kukosa ajira hasa kwa vijana kikiendelea kushika kasi, Kamisaa wa Sensa Tanzania Bara, Anne Makinda, amesema kuna idadi kubwa ya wasomi wanaoishi kwa wazazi wao wakila bure kwa kutotaka kufanya shughuli za kuingizia kipato.