Pamoja na matatizo ya kisiasa Uganda,kutoka Obote,Idd Amin, Binaisa hadi Museveni,kitu kimoja ambacho Makerere Uni wanacho ni kutoingiliwa kisiasa na any government.Kimebaki chuo pekee ambacho elimiu ni elimu.Kutana na graduate wa law,medicine toka Makerere utaniambia vizuri.
Suala la kumkataa Prof Baregu wa UDSM ni cha kushangaza sana.Ina maana only YES men hapo UDSM ,ambao wako tayari kukubali kila kitu cha govt ndio watabaki.
Elimu yetu inadidimia kwa namna hiyo maana mediocre tu tunawakubali so long hawawezi kuikosea serikali hata ufisadi wa namna gani.Ndio maana tunawahusudu
watu wenye Phd feki toka vyuo vya kihuni.
unaushahidi?tunawahusudu
watu wenye Phd feki toka vyuo vya kihuni.
Nilifikiri unaongea ktk nyanja za kielimu kumbe unadiscuss siasa mkuu? Hivi wewe zile fujo za Makerere/migomo ya wahadhiri mpaka ikapelekea chuo kile kufungwa kwa muda ulijua chanzo chake kweli? Au unapelekwa kwa hisia tu badala ya kuwa na facts.
.......
uwepo wa Mkandara ulibarikiwa na wao akina Baregu, bila kujali JK kamweka pale kwa lengo lake......
JK alimnyakua Prof Mukandara from nowhere na kumfanya VC?
Kama sivyo, ni mchakato gani unatumika kumpa VC UDSM?
Kuna majina yanapelekwa kwa rais, na katika hayo la Mkandara lilikuwemo, kwani wazee wale walijua JK lazima atalihitaji. Kuna marais waliopita ambao hawakuwa na uhusiano wa karibu na ma-VC , unafikiri anapataje au anajuaje kuwa amteue fulani?
Kilichotokea ni kuwa kulikuwa na vita baridi siku nyingi ya kwa nini wahandisi wanaongoza chuo, walipokuja hawa akina Mkandara, maprofessor wa arts, social n.k walifurahi kwa sababu mainjinia hawapo tena(japo muda wao uliisha), furahi furahi ile ndio imekuwa haya!
Mtu ambaye inasadikika alitakiwa awe VC kwa nguvu zote na baraza la chuo, ambaye jina lake lingeenda kwa JK alikuwa ni marehemu Chachage, ambaye naye kifo chake kwa mimi jirani yake kina story nyingi sana!
Kuna makosa mawili hapa, waliopeleka majina walipeleka wakijua kabisa JK atampa Mkandara, lakini JK ana uhuru wa kusema hataki hao walete wengine, kama JK angekataa majina ya awali, jamaa hawa wateuzi wangekuwa kwenye wakati mgumu zaidi! njaa hii na kupata miradi ya serikali!
Kuna story nyingi na mchakato hauko wazi, kama vile mafia au freemasons, ukiwauliza wanasema kama ulivyosema , JK mwenyewe kateua!! wakati si hivyo
Jaribu kutazanma tena webmetrics upya katika vyuo barani Africa ndio utaweza kuona jinsi gani UDSM ilivyo fanya vibaya mwaka huu yote ni migomo na siasa katika chuo hichoudsm ranked 10th in africa while makerere is ranked 28th in africa, i think you have the ans! i agree with you that we are heading in bad directions with too much politics in education sector but what i don agree with you is makerere is not any better to udsm!
Yaelekea umpenda story na kuziamini.
Rais anachagua majina aliyoletewa. Kama anainterest na jina moja kati ya aliyoletewa, basi atalichagua (Hata mimi ningefanya hivyo).
Bila shaka kuna mchakato unaoanzia kwenye grass root ndio unapelekea jina husika kufika kwa Rais.
Hadi jina kufika kwa Rais lazima kuna potential. Kama yanaenda majina mawili, basi majina yote yameshakubalika na Rais anatia mkono wake kuchagua ampendea, akiamua anaeweza fanya 'ana ana do'.
When objectivity falls short even to people you respect their ideas most.
.......
swala la kuchagua viongozi wabaya sisi wananchi tuna play role kubwa sana.....
Anhaaaa, well said; hivyo si sahihi kumlaumu Kikwete kum-appoint Mukangara kama UDSM VC.
Wakulaumiwa ni hao stakeholders waliofanya jina la Mukangara likafika kwa president na wale waliomchagua Kikwete kuwa president.
Anhaaaa, well said; hivyo si sahihi kumlaumu Kikwete kum-appoint Mukangara kama UDSM VC.
Wakulaumiwa ni hao stakeholders waliofanya jina la Mukangara likafika kwa president na wale waliomchagua Kikwete kuwa president.
Kwa kampeni aliyoifanya Mkandara na REDET yake kumkampenia JK, JK alihitaji kupelekewa majina au jina la Mkandara?
Damn !!!!!!!!!!!