Kuna umri ukifika utakuja kuifuta hii comment endelea kukua, ng'ombe ana thamani kubwa sana kuzidi maziwa aliyoyabeba kwa hio usilinganishe maziwa na ng'ombe, ng'ombe ni zaidi ya maziwa, ukikua utanielewa sasa hivi endelea kukuakua kidogo ukifika umri wa kustaafu ndio uje hapa kuongea vizuri