Makelele hotelini yananiharibia mudi ya kazi

Makelele hotelini yananiharibia mudi ya kazi

Nenda kawaonyeshe hili tangazo waache ujinga
tapatalk_1575575577070.jpeg
 
Hahahahaha weww una majanga bado yule mmaza anaetaka getto.
Na kwenye list ya pricila upo
ha ha ha kwenye hiyo list hawezi nipata....huwa na kipimio changu kabla ya kufanya msuguano;afya kwanza mengine baadaye
 
Mii jirani yangu ni balaa. .afu mkewe mjamzito sasa kutiana kama kotee kila siku masaa mawili matatu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom