Make Tanzanians Receive Money with Paypal

Serikali yetu ina wazee wengi wasiotaka kushauriwa na vijana wanaoiona dunia inaendaje.
Vijana wamo pia lakini mawazo yao utafikiri ya watu wa Karne ya 9 !

- Kina Mwigulu Nchema eti mchumi daraja la 1 aliyema Ilboru hajui hata umuhimu wa PP

- Antony Mavunde yeye ni waziri, anachojua ni kubweka tu VIJANA MJIAJIRI

- Jiwe mwenyewe amekuwa SUMU KALIII kwa bloggers, utafikiri kuwa blogger ni dhambi !

- Hata hiyo BOT ina maprof lakini HAWAJUI hata DUNIA inaendaje

- Vijana ndani ya Taifa wako [HASHTAG]#JEHANAM[/HASHTAG] YA MOTO kabisa

[HASHTAG]#SoSad[/HASHTAG]
 
Vijana wamo pia lakini mawazo yao utafikiri ya watu wa Karne ya 9 !

- Kina Mwigulu Nchema eti mchumi daraja la 1 aliyema Ilboru hajui hata umuhimu wa PP

- Antony Mavunde yeye ni waziri, anachojua ni kubweka tu VIJANA MJIAJIRI

- Jiwe mwenyewe amekuwa SUMU KALIII kwa bloggers, utafikiri kuwa blogger ni dhambi !

[HASHTAG]#SoSad[/HASHTAG]
Haya jamani PayPal majibu yao ni hayo BoT kuwaingia na kuwapa haya maoni inawezekana kweli ili warekebishe matundu?
 
Nimeona 2chekout hadi Kenya ,Congo na Burundi inassuport ila Tanzania eti haipo!!
Tutazidi kuwa nyuma kwenye E_economy hivi hivi
 
Tatizo ni viongozi wetu akili zao bado zinafanyakazi kama enzi za ujima ili hali duniani kuna mabadiliko kila siku.
 
Like two weeks ago Paypal waliniambia nitengeneze link kwa ajili ya kupokea malipo. Nishatengeneza bado nasubiri mtu wa kupiga naye test.
Ulidanganya location? Mbona Mimi kuna malipo yangu pending nataka kufungua account ya kupokelea ila no such option?
 
Still tupo nyuma Mno , mm ni Muhanga mkubwa wa kukosa huduma hii
 
Back
Top Bottom