Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,484
- 145,820
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Mnanguvu sana watetea tope[emoji16]
Observation inaonyesha kwamba waukataao ushoga kwa sauti kubwa ndiyo huwa mashoga haswa!Angalau tuna sema hapana kwa huo ushetani, and it's make sense, that's enough.
Wasipokanusha hapa leo naweza kuamini ulichosema.Observation inaonyesha kwamba waukataao ushoga kwa sauti kubwa ndiyo huwa mashoga haswa!
Hahaaaaa....nasubiri maoni (na possibly, matusi na kejeli)Disclaimer:
I don’t care what two or more consenting adults do with regard to the choice of lifestyle they want to lead.
Now that we got that out of the way, please make it make sense!
LGBTQ rights are now the sociopolitical hot potato in these neck of the woods [ East Africa].
Raia wanatoa povu balaa. Kila mwenye kujiona ana umuhimu na kila mwenye kudhani akifungua mdomo wake na kutoa kauli, basi watu watamsikiliza, naye anatoa kauli yake ya msimamo wake kuhusu ushoga.
Maoni ya watu ni mengi na ni anuai. Kutoa maoni ni jambo jema kabisa.
Nilichokiona ni kwamba, kauli na sauti za kupinga mapenzi ya jinsia moja, ni nyingi na kubwa.
Ambacho sikielewi, hususan kwa wale wanaopinga hayo mapenzi, upingaji huo unaishia wapi?
Upingaji huo unaanzia na kuishia humu humu ndani ya mipaka ya nchi, au?
Kuna dhana inayoaminika kwamba mataifa ya nchi za magharibi ndiyo yanayo promoti hayo mambo ya ushoga huku kwetu.
Sasa katika kuukataa huo ushoga, inakuwaje kwa mfano, watu waendelee kutumia bidhaa za makampuni ya hizo nchi za magharibi ambayo yanajulikana kupromoti hayo mapenzi?
Mfano, iPhone zinapendwa sana Tanzania. Kampuni inayotengeza hizo bidhaa inajulikana wazi kabisa kuwa ina promoti hayo mambo.
Kampuni ya Apple ina mashoga wengi sana. Kuanzia juu kabisa [CEO] mpaka ngazi za chini, mashoga wapo.
Mtu hapa Tanzania unawezaje kuupinga ushoga kwa nguvu zako zote halafu kwa wakati huo huo utumie bidhaa za kampuni ijulikanayo kuongozwa na shoga bila ya kuwa mnafiki?
Please make it make sense….
Una uhakika kuwa ni tamu?mbona k zetu tamu mnataka nini huko
Wanaume mkiacha kutifua tope, ushoga utapungua kama si kuisha.
Wanaume wakiendeleza na ushoga unaendelea.
Ushoga na biashara ya ukahaba, zinaendana bila wanaume kuacha hakuna kitu. Tutapiga kelele, tutaacha tumia hizo bidhaa ila hakuna kitu kitabadilika.
KabisaAngalau tuna sema hapana kwa huo ushetani, and it's make sense, that's enough.
Naona wahusika wanaanza kuibuka kutetea wenzaoDisclaimer:
I don’t care what two or more consenting adults do with regard to the choice of lifestyle they want to lead.
Now that we got that out of the way, please make it make sense!
LGBTQ rights are now the sociopolitical hot potato in these neck of the woods [ East Africa].
Raia wanatoa povu balaa. Kila mwenye kujiona ana umuhimu na kila mwenye kudhani akifungua mdomo wake na kutoa kauli, basi watu watamsikiliza, naye anatoa kauli yake ya msimamo wake kuhusu ushoga.
Maoni ya watu ni mengi na ni anuai. Kutoa maoni ni jambo jema kabisa.
Nilichokiona ni kwamba, kauli na sauti za kupinga mapenzi ya jinsia moja, ni nyingi na kubwa.
Ambacho sikielewi, hususan kwa wale wanaopinga hayo mapenzi, upingaji huo unaishia wapi?
Upingaji huo unaanzia na kuishia humu humu ndani ya mipaka ya nchi, au?
Kuna dhana inayoaminika kwamba mataifa ya nchi za magharibi ndiyo yanayo promoti hayo mambo ya ushoga huku kwetu.
Sasa katika kuukataa huo ushoga, inakuwaje kwa mfano, watu waendelee kutumia bidhaa za makampuni ya hizo nchi za magharibi ambayo yanajulikana kupromoti hayo mapenzi?
Mfano, iPhone zinapendwa sana Tanzania. Kampuni inayotengeza hizo bidhaa inajulikana wazi kabisa kuwa ina promoti hayo mambo.
Kampuni ya Apple ina mashoga wengi sana. Kuanzia juu kabisa [CEO] mpaka ngazi za chini, mashoga wapo.
Mtu hapa Tanzania unawezaje kuupinga ushoga kwa nguvu zako zote halafu kwa wakati huo huo utumie bidhaa za kampuni ijulikanayo kuongozwa na shoga bila ya kuwa mnafiki?
Please make it make sense….
Duh!...malezi yako kibokoVijana waonyeshwe ilivyo raha kumpelekea moto mwanamke toka balehe hii kitu itakoma yenyewe. Mi kijana wangu akibalehe tu hats kama yuko fomu 1 namtafutia binti kigoli wa kukua naye.
Watu wanapinga ushoga, sio kampuni wala bidhaa.
Ukisema bidhaa zina promote ushoga naweza kukuelewa kuacha matumizi yake.
Napinha ushoga kwa nguvu zote, mbona k zetu tamu mnataka nini huko mafirauni?