Basi achana nacho, kinakupotezea muda bure. Mwanamke utakayempenda mwulize anachokipenda kisha umtendee hichoHio ni sawa na kuniambia hutahamia maanake kukimaliza hiko ni mpaka naingia kaburini
Aisee.Njoo huku unaitwaaView attachment 727595
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umepatwaaaAisee.
umeongea ukweli ila ngoja matusi ya wadada wenzioWanaume wako bizee kutafuta hela,muda wa kufanya haya watautoa wapi wakati sisi tunajali wallet
Its not easy to satisfy a womanBasi achana nacho, kinakupotezea muda bure. Mwanamke utakayempenda mwulize anachokipenda kisha umtendee hicho
Nimeipenda hi,umenena vyema mkuu,waeleze waelewe.Kwa Wanawake Sex kwao sio kipaumbele kabisaaa. Kama kila muda unapokuwa nae unawaza kumpeleka kitandani tu hauko sahihi my black brother! Labda kama una-date na pizza bandit au slay queen!!
Lakini kama uko na mwanamke sahihi, haitajalisha ni kiasi gani unamfikisha, bado kuna vitu fulani atavi-miss tu kutoka kwako!!!
Kama nia yako ni kumfanya mwanamke wako awe na furaha, basi jitahidi kutengeneza kumbukumbu na yeye. Mpatapo nafasi tembea na yeye ufukweni au sehemu tulivu na ikiwezekana mtake selfie pamoja!
Pika chakula pamoja nae, mshike mkono mnapotembea pamoja! ndio, hata mbele ya ex girlfriends wako, mnyanyue na kumbusu bila hata ya sababu, mshike nywele zake, mnunulie red roses, kaa nae na muangalie pamoja zile Tamthiliya zinazoboa za ZeeWorld na Telemundo huku akiwa amelala kifuani kwako!
Najua kwa black brothers hili haliingii akilini kabisa, lakini kama unampenda main madam wako mfanyie hivyo...kama utamuuliza anataka kula nini na akakwambia 'sijui nile nini' usikasirike...hapo anamaanisha, Wewe ni mfalme, muamulie malikia ale nini...inuka mnunulie au mpikie kile anachopenda kula!
Sio tabu kumteka mwanamke unaempenda, tengeneza kumbukumbu nae..ndio maana black ladies hukumbuka kwa haraka yale mazuri waliyotendewa na wapendwa wao. Hukumbuka kila kitu yaani eneo, tarehe, muda, rangi, hali ya hewa hata uelekeo wa upepo..
Uanaume wako hautahesabiwa kwa kumfikisha keleleni pekee , Infact aometimes ktk hili wanawake hua wana-fake orgasm ili mwanaume asijisikie vibaya! uanaume wako utapimwa kwa namna anavyofikiri kumjali kwako na attention kubwa anayoipata kutoka kwako!! Jaribu kumjali mkeo uone atakavyoifurahia hiyo sex asisite hata kukunyima!!!
Ni rahisi mno na wala sio complicated kuwapenda wife materials!!!
Holla to you wife materials [emoji8][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji177][emoji177][emoji179][emoji179][emoji179][emoji97][emoji97][emoji170][emoji119][emoji817][emoji817][emoji817][emoji484][emoji484]!!!!
Fact indeed,Thanks kwa kuwafumbua macho,na uwakumbushe kuwa wife material hatuhitaji pesa...uwepo wa mwanaume anayekufanya uishi kama malkia ndo tunachohitaji..hao slay queens ndo wanafake kila kitu,na kuweka pesa mbele kama vile mmetafuta nao[emoji23] [emoji23]
you are warmly welcomedNimeipenda hii kwakweli
90 days,"Think like a Lady act like a man"Asante kwa ujumbe huu... Wanaume wanaboa kweli... Lijitu linakutongoza na outing ya kwanza tu linataka kukupeleka gesti likale mzigo... Yaaani hapo ushaonesha umeniweka katika level gani!
Yaani saivi ni mwendo wa 3 months rule... Kama huwezi hatukupangiwa kua
Asante kwa ujumbe huu... Wanaume wanaboa kweli... Lijitu linakutongoza na outing ya kwanza tu linataka kukupeleka gesti likale mzigo... Yaaani hapo ushaonesha umeniweka katika level gani!
Yaani saivi ni mwendo wa 3 months rule... Kama huwezi hatukupangiwa kua
You are specialNatamani saana wakuelewe jamanii
THIS IS WHAT I DO I CATCH A LOT OF ...ILA WANANPENDA NA SIAHIDI MAMBO YA NAKUPEMDA NDOA NO NAKUWA TUU REAL ILA ROMANTIC MOOD IS BETTER NA AUTOMATIC SEX INAKUWA OUTSTANDING....THEN FROM THERE GET YOUR SELF A GIRL TRAET HER THIS WAY AISEE SHE WILL FEEL HAPPY MENGINE WEAKNESS ZA KIBINADAMUKwa Wanawake Sex kwao sio kipaumbele kabisaaa. Kama kila muda unapokuwa nae unawaza kumpeleka kitandani tu hauko sahihi my black brother! Labda kama una-date na pizza bandit au slay queen!!
Lakini kama uko na mwanamke sahihi, haitajalisha ni kiasi gani unamfikisha, bado kuna vitu fulani atavi-miss tu kutoka kwako!!!
Kama nia yako ni kumfanya mwanamke wako awe na furaha, basi jitahidi kutengeneza kumbukumbu na yeye. Mpatapo nafasi tembea na yeye ufukweni au sehemu tulivu na ikiwezekana mtake selfie pamoja!
Pika chakula pamoja nae, mshike mkono mnapotembea pamoja! ndio, hata mbele ya ex girlfriends wako, mnyanyue na kumbusu bila hata ya sababu, mshike nywele zake, mnunulie red roses, kaa nae na muangalie pamoja zile Tamthiliya zinazoboa za ZeeWorld na Telemundo huku akiwa amelala kifuani kwako!
Najua kwa black brothers hili haliingii akilini kabisa, lakini kama unampenda main madam wako mfanyie hivyo...kama utamuuliza anataka kula nini na akakwambia 'sijui nile nini' usikasirike...hapo anamaanisha, Wewe ni mfalme, muamulie malikia ale nini...inuka mnunulie au mpikie kile anachopenda kula!
Sio tabu kumteka mwanamke unaempenda, tengeneza kumbukumbu nae..ndio maana black ladies hukumbuka kwa haraka yale mazuri waliyotendewa na wapendwa wao. Hukumbuka kila kitu yaani eneo, tarehe, muda, rangi, hali ya hewa hata uelekeo wa upepo..
Uanaume wako hautahesabiwa kwa kumfikisha keleleni pekee , Infact aometimes ktk hili wanawake hua wana-fake orgasm ili mwanaume asijisikie vibaya! uanaume wako utapimwa kwa namna anavyofikiri kumjali kwako na attention kubwa anayoipata kutoka kwako!! Jaribu kumjali mkeo uone atakavyoifurahia hiyo sex asisite hata kukunyima!!!
Ni rahisi mno na wala sio complicated kuwapenda wife materials!!!
Holla to you wife materials [emoji8][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji177][emoji177][emoji179][emoji179][emoji179][emoji97][emoji97][emoji170][emoji119][emoji817][emoji817][emoji817][emoji484][emoji484]!!!!
SEMA MDADA KAMA HUNA FEELINGS NAYE HUWEZI MFANYIA HAYOToo bad vitu vingine tutaishia kuviona kwenye tamthilia tu na kutamani tufanyiwe ila kumbe black brother Hana hata wazo . Ni vitu vidogo sana vinawafurahisha wanawake na haijalishi umeinvest pesa kiasi gani kwake ila if she feels you don’t care about her or show your love kwa vitendo basi ujue unampoteza...
MAADILI YA KIKRISTO BRO3 months ? Hapana aiseee...... au hii 3 months ya aje labda mim sijakuelewa !! Yaan mtu umeshamkubali mmeshaanza kupendana, outing mnatoka ,mnawasiliana ki beb beb afu ndo mje mkulane baada ya miezi 3 ?...... labda unielezee hii 3 months ya aje
ULIYENAYE YUKO VIZURI KAMA NI KWELI....NA MIMI VYOTE HIVI NATOA......MAMBO NI MOTOOVyote hivyo napata
YOU NAILED IT BROHAYA NDIO USEMAYO MKUU
"Use brain Heriel Member
Kwa Wanawake Sex kwao sio kipaumbele kabisaaa. Kama kila muda unapokuwa nae unawaza kumpeleka kitandani tu hauko sahihi my black brother! Labda kama una-date na pizza bandit au slay queen!!"
WASILIZE WENYEWE WATAKACHO KWA MEN KWENYE UZI WAKE ANALALAMA
"Sexless JF-Expert Member
Mume wangu ana uvimbe kwenye nyeti zake.
Mpaka sasa ni miezi 17 hajanipa haki yangu ya ndoa na ndiyo kwanza nyeti zinazidi kuvimba.
Mimi niliacha wazazi wangu kufuata dushe(uume), sikufuata kitu kingine. Ndoa ni tendo la ndoa. Nimeamua kwa dhati ya moyo wangu namuacha huyu mwanaume.