Make her feel more than special

Yan hvo vitu ulivyotaja vyote naweza kuvifanya vizur sana tu, lakin bado nahis kuna ule umwanamke wa mwanamke utabaki vle vle tu. Mfno mi ukiniambia nikuchagulie msos asee naweza kusema nnaopenda mim af wew hupend sas inakuaje apo? Unaeza sema hiki utaskia aaa hik kna mafuta sana kingne. Apo huwa sura inageuka sas mana siwez
 
Thanks kwa kuwafumbua macho,na uwakumbushe kuwa wife material hatuhitaji pesa...uwepo wa mwanaume anayekufanya uishi kama malkia ndo tunachohitaji..hao slay queens ndo wanafake kila kitu,na kuweka pesa mbele kama vile mmetafuta nao[emoji23] [emoji23]
Asanteee
 
Nimeipenda hii kwakweli
 
Bado hujakutana na wanaumee, utakutana nao tuuu,
 
Wakati nakusubiria wewe miezi3 nakuwa natafuna nje kimyakimya!!
 
Mara wengine wanasema mwanaume mashine
Wengine wanasema mwanaume gari
Wengine wanasema mwanaume nyumba!

Najaribu kusoma hiki kitabu hapa chini
Ukimaliza kukisoma hicho kitabu, uniambie nihamie kwako kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…