JoJiPoJi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2009
- 2,975
- 3,436
Inawezekana watu wengi hatuna uelewa na suala hili,
kuna ubishi unaendelea hapa juu ya familia ya rais wa tanzania inaishi wapi, wapo wanaosema anaishi ikulu na wapo wanaosema anaishi kwenye nyumba yake hapo upanga.
Je mwenye uelewa makazi ya rais wa jmt yako wapi?