Halafu ukifahamu makazi ya Rais ndio itakuwaje? Unapata cheti au tuzo? BTW, ni Rais gani na wa nchi gani unayemuongelea? Kama ni Rais wa kwanza wa Tz makazi yake yalikuwa/yako Msasani na Butiama, kama ni Rais wa pili makazi yake yako Msasani/Mikocheni, kama ni Rais wa tatu makazi yake yako Lushoto na Mtwara, kama ni Rais aliyepo madarakani basi chagua jibu sahihi kati ya haya:-
(a) Angani (yaani kwenye ndege)
(b) Nje ya mipaka ya Tanzania (ambako hata sasa yuko huko)
(c) Msoga, Bagamoyo
(d) Dar, karibia na ofisi za Engender Health Morocco
(e) Ikulu, Dsm
(f) None of the above
hata mshahara wake mimi sijui na mimi ndo mwajiri wake.....Nilichokiona hapa kuwa wengi hatufahamu yalipo makazi ya rais na familia yake!
hii nchi haiwezi kuendekea...hamna hoja yenye tija mpaka mnapoteza muda kubishana makazi ya raisi?? Tangu mungai alipobadilisha mitaara ya shule wasomi vijana wa sasa mmekua sooooooooooo absurd..hata elimu ya kawaida ya uraia ni hoja ya ubishi...NCHI MTUNGONI..