Makazi ya Polisi a.k.a Wazee wa kupiga hadi kuchakaa

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Makazi ya polisi
Kwinyara_61962972_440126146775455_361703448093329546_n.jpeg
 
Polisi wa Tanzania majanga sana, wanamaisha magumu balaa lakini

Hawajitambuwi kabisaa kwasababu yakudhani wapo kuwatumikia CCM sio watanzania

1. Wanaendeshwa na wanasiasa (CCM) kama mazezeta .... kutumikishwa hovyohovyo nje ya misingi ya haki, demokrasia na nje ya katiba

-Kupiga raia hovyohovyo bila Sababu
-Kukamata, kubambikia kesi raia, kiuonezi tu
-Kuweka watu mahabusu kiuonezi tu

2. Polisi wetu wanafiki sana,
-wanaishi kwa kujipendekeza
-Kujifanya vipofu kwa uovu wa wanasiasa(CCM)
-Kujikombakomba kwa CCM na uvccm nk

Ukiwatathmini wanavoishi polisi hawa na familia zao....Huwezi amini macho
- vibanda vilivyochakaa, chumba na sebure...watoto sebureni, yeye namkewe kwenye kichumba uchwara....akitoka kuenda msalani anapita kuwaruka watoto lakini kazi nikupiga wapinzani wanaowatetea wao waishi vizuri na familia zao na watanzania wote kwa ujumla

- Watoto wao hawasomi vizuri, ni shida kwa kwenda mbele....lakini kazi nikupiga wapinzani wanaowatetea wao waishi vizuri na familia zao na watanzania wote kwa ujumla

wanaofaidi niwachache pale juu
IGP
Commissioners
Inspectors
Ma Rpc

Lakini huku chini ni upumbavu mtupu,

Nao wanakesha kutwa kucha kuilinda CCM ambayo haiwajali kwa lolote...polisi hawa wana ujasili wakipumbavu sana kushindwa kutambuwa haki zao zamsingi na za raia wenzao kwa mujibu wa Katiba yetu
 
Back
Top Bottom