Makavu Live - Mwanaume Jitume

hahahahaaaaaaaaaaaa bestito umeniacha hoi mm ndoa yangu haijainishinda basi nimeona niwafunde wenzangu hapa kijiweni

best unajua raha iliyopo kwenye ndoa kuna raha sana huko asikwambie mtu hahahahaaaaaaaaaaaaaaa
Best naona unafurahia raha ya ndoa....kulala bila nguo
 
Wanawake hamueleweki nini mnachokitaka kwa hiyo utapata unachostahili sio unachokitaka
 
BORA UJICHEKEE MWAYEGO MAANA USINUNE BURE HAHAAAA
 
BORA UJICHEKEE MWAYEGO MAANA USINUNE BURE HAHAAAA
 
leo tena tunakumbukizi ya kuzaliwa founder wa jf hapa Maxence Melo acha nimtakie baraka na heri ya kumbukizi ya kuzaliwa kwake Mungu ampe afya njema katika majukumu yake ya kila siku awe strong
 
Kwa sababu wanawake hamjui mnataka nini na kadiri siku zinavyozidi kwenda mna changanyikiwa zaidi na zaidi.. sisi tuta base kwenye kuwapa mimba tuu na sio vinginevyo ili muwe busy kunyonyesha
 


"Mwenzi / Mkeo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…