Mkuu elimu yako ikustaarabishe isiishie kukupa ugali tu..usilipize ubaya kwa ubaya..inawezekana wao walitoa pesa kwa wakati ila chuo chako ndo kikasua sua kukupaNitalipa kwa kusua sua the same way walivyokua wanansumbua kunipa hiyo boom
Sent using Jamii Forums mobile app
Inistaarabishe mara ngapi? Nina degree ya chuo chao uchwara lakini nina masters ya kitaaolojiaMkuu elimu yako ikustaarabishe isiishie kukupa ugali tu..usilipize ubaya kwa ubaya..inawezekana wao walitoa pesa kwa wakati ila chuo chako ndo kikasua sua kukupa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inistaarabishe mara ngapi? Nina degree ya chuo chao uchwara lakini nina masters ya kitaaolojia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ndio wasomi wetu wanaotafuta ajiratoka lini tcu wakahusika na makato