Makato ya loan board | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makato ya loan board

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by R.Mkangala, Jul 12, 2011.

 1. R

  R.Mkangala Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau ni aje? jamani kwa wlio soma kwa mikopo mmeshuudia makato ya mwezi uliopita mbona yamepanda ghafla mpaka kufikia sh 150,000/= toka sh 13,000/= naomba ufafanuzi kwa mwenye taarifa sahihi.
   
Loading...