blind fighter
Member
- May 17, 2021
- 85
- 128
Au ulijiunga na bima? Wamekata juu kwa juuHabari wakuu.
Mnamo wa mwaka jana mwezi wa nne nilipata kazi kwenye kampuni moja hivi, tulikubaliana kiasi cha mshahara take home itakuwa 500K. nilivoanza, nilikuwa napokea cash kwa accountant bila makato yoyote. Yaani ilikuwa hiyo 500k hadi mwezi December. Nilikuwa situmii bank, na hawakunipa mkataba wowote. Wala mwongozo wowote wa makato. Nimeendelea hivo hadi mwaka jana mwezi wa 12. Sasa kutokana na usumbufu wa yule accountant kunizungusha kwenye kutoa hela kwa wakati, nikaona nitumie bank account kupokea hela, na alisema nitaanza kuwekewa hela kwenye account kuanzia January hii..
Mshahara ulivoingia, nimekuta wamekata takribani 85,400, bila maelezo yoyote, hamna deni lolote ninalodaiwa na kampuni. Na hamna mkataba wowote niliopewa unaoonesha makato. Hii imekaaje wakuu.
kwa sasa nimesafiri sijarudi ofisini na wala sijapiga simu kuulizia.
Sasa. Naombeni ufafanuzi kwa wanaojua nisipanik bure
Sina bima lolote mkuuAu ulijiunga na bima? Wamekata juu kwa juu
Kazi nafanya mkuu. Sema nataka tu kufahamuFanya kazi mkuu
Tafuta wakili mzuri wafungulie kesi wamekata hela nyingi sana hao jamaa au ulizinguana naoSina bima lolote mkuu
Sijazinguana nao, na bado nipo nafanya nao kazi. Mkataba wowote sijapewa, hamna makato yoote yaliyokuwa yakikatwa. Najiuliza, au ndo wameanza kukata PAYE na NSSF? na hii inawezekanaje labla sijapewa mkataba wakuu? Yawezekana wapo sahihi mimi ndo sijui, lakini inawezekana bila kuambizana?Tafuta wakili mzuri wafungulie kesi wamekata hela nyingi sana hao jamaa au ulizinguana nao
Nakuelewa mkuu wangu. Kazi sijasusa, na nipo huku kwa makubaliano yangu na ofisi.Rudi kazn acha kibri! Ukisharudi tenga muda kaongee na accountant wako.... pengine unakatwa Nssf, bima ama whatever....
Kazi ngumu wazee, usisuse
Sehemu sahihi ya kupata maelezo ni kwa huyo accountant. Huku hutapata majibu sahihiHabari wakuu.
Mnamo wa mwaka jana mwezi wa nne nilipata kazi kwenye kampuni moja hivi, tulikubaliana kiasi cha mshahara take home itakuwa 500K. nilivoanza, nilikuwa napokea cash kwa accountant bila makato yoyote.
Yaani ilikuwa hiyo 500k hadi mwezi December. Nilikuwa situmii bank, na hawakunipa mkataba wowote. Wala mwongozo wowote wa makato. Nimeendelea hivo hadi mwaka jana mwezi wa 12. Sasa kutokana na usumbufu wa yule accountant kunizungusha kwenye kutoa hela kwa wakati, nikaona nitumie bank account kupokea hela, na alisema nitaanza kuwekewa hela kwenye account kuanzia January hii..
Mshahara ulivoingia, nimekuta wamekata takribani 85,400, bila maelezo yoyote, hamna deni lolote ninalodaiwa na kampuni. Na hamna mkataba wowote niliopewa unaoonesha makato. Hii imekaaje wakuu.
Kwa sasa nimesafiri sijarudi ofisini na wala sijapiga simu kuulizia.
Sasa. Naombeni ufafanuzi kwa wanaojua nisipanik bure