Makato katika miamala ya Tigo yanatisha,

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,383
24,939
Huu ni muamala uliofanyika punde huku makato yakiongezwa kwa kiasi kikubwa.
Tuendako matumizi ya simu katika masuala ya hela yatakwama.

MAKATO
Wameongeza shilingi 500. Hiki ni kiasi kikubwa mno anabebeshwa Mtanzania wa kipato cha chini.
Kutoka Shilingi 1,750 mwanzo mpaka 2,250 kwa sasa.

Salio lako jipya ni TSh xxxxxx. Umetuma pesa kwa Wakala - NN kiasi TSh 40,000., Ada TSh 2,250. kumbukumbu no. CO.160405.1807.G1468559233. 05/07/16 18:27.
 
Asante kwa habari muhimu, ila ningependa kufahamu zaidi. Je, hiyo 2,250 ni flat rate au ni kwa hizo 40,00 zilizotumwa? Kama iliyotumwa ingekuwa 100,000 makato yangekuwa kiasi gani?
 
Nimemtumia mtu hela jana,sh 10,000. Kuzipata yeye 10,000 kamii,ninetuma 11500 sh. . Inabidi kuongeza 1500 ili kutuma 10,000.Ukiwasikia wanasema Hapa kasi tu,they mean just that,kasi kubwa ya kutuibia hela. Badala ya kuwakamata hawa TCRA inafanya kazi ya kuwatafuta mashoga kwenye mtandao,au kuwatafuta watu wanaomkashifu Magufuli.
 
Huu ni muamala uliofanyika punde huku makato yakiongezwa kwa kiasi kikubwa.
Tuendako matumizi ya simu katika masuala ya hela yatakwama.

MAKATO
Wameongeza shilingi 500. Hiki ni kiasi kikubwa mno anabebeshwa Mtanzania wa kipato cha chini.
Kutoka Shilingi 1,750 mwanzo mpaka 2,250 kwa sasa.

Salio lako jipya ni TSh xxxxxx. Umetuma pesa kwa Wakala - NN kiasi TSh 40,000., Ada TSh 2,250. kumbukumbu no. CO.160405.1807.G1468559233. 05/07/16 18:27.
Ni kweli nimetoa jana the same amount na makato ilikua hivyo hivyo
 
Kama serikali imekomalia mabenki yasiongeze vati kwa mwananchi kwa nin i haya makampuni yasiambiwe hivyo hivyo? Sasa hapa serikali si inaendelea kumnyonya mwananchi wa chini wakati makampuni yanafaidika kama mwanzo maana hakuna mzigo walio bebeshwa? Huyu bwana Mpango aliangalie hili vizuri jamani haa.
 
Hata hiyo asilimia 18% haikati hivyo nakushauri hama huo mtandao maana wanataka wakalipie matangazo kwenye media ili wajitangaze huku Huduma zao ni mbovu.nadhani huo ndio mtandao unaongoza kwa matangazo tz. Mbona Halotel hawana matangazo na Huduma za ni nzuri mfano internet Halotel hakamatiki
 
Asante kwa habari muhimu, ila ningependa kufahamu zaidi. Je, hiyo 2,250 ni flat rate au ni kwa hizo 40,00 zilizotumwa? Kama iliyotumwa ingekuwa 100,000 makato yangekuwa kiasi gani?
Sio fla Rate kila kiwango kinaGharama yake mPesa nilikuwa na 50000 wamekata 3150
 
Kwenye maBANK ndio usiseme 18% imesimama kila unapotoa HELA ni HATARIIII...then ipo miJITU mipumb**vu inashangilia
kwenye mabank hamna kilichobadilika mkuu....tra wamepiga stop..so charges ni zile zile
 
Back
Top Bottom