and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,105
Zikiwa zimebaki siku kadhaa kufunga zoezi la kupokea maombi. Nataarifiwa kuwa makarani wameandaliwa Kitita cha maana. Hii haijawahi kutokea tokea kuumbwa kwa ulimwengu. Huku Anwani za makazi, huku Sensa. Vijana tuchangamkie pesa hiyo
