Makarani wa sensa jiji la mwanza

TZM

Member
Oct 17, 2011
12
1
Zoezi la kuwapata makarani wa sensa jiji la mwanza limegubikwa na harufu za RUSHWA,Yaani fikiria mtu aliyesoma STATISTICS NA MATHEMATICAL DEMOGRAPHY AMEACHWA,SASA NIMEAMINI NCHI HII NOMA KWA UPENDELEO.SERIKALI IJAYO iwamulike hawa wote.Tatizo letu letu ni kuchanganya mambo,shemeji siwezi kumuacha hata kama hana sifa.TAKUKURU WAPO KWELI?AU IVUNJWE?
 
Kuna housegirl wa afisa mmoja wa jiji kapata nafasi, natamani kuweka wazi jina lake ila basi tu kama wapambe wa mtoto wa mkulu wanapewa ukuu wa wilaya itakuwaje kwa hao wengine?
 
Back
Top Bottom