Nipo lindo mkuu niambie
Kalale sasaNipo lindo mkuu niambie
Niliweka kambi mmu toka juzi ndio maana nilishindwa kuwawekea magazeti
Nilikuwa kwenye thread ya baba na mchepuko wake
Nyie wanaume tulieni na wake zenu michepuko inakuja kwenu kimaslahi hela zikiisha au zikipungua utajua tabia zake zote kama kweli alikuwa anakupenda
Shunie boss ladyNipo lindo mkuu niambie
Hahhaha we mzee ulivyoniambia kama baba na mtoto wakeKalale sasa
Mimi na uboss lady wapi na wapiShunie boss lady
Asante mkuu
Hahahaha, mambo vipi shangaziHahhaha we mzee ulivyoniambia kama baba na mtoto wake
Poa we mzee za weweHahahaha, mambo vipi shangazi