Yaani katika wajomba zangu wote, mimi nakufagilia wewe , sasa ukinisajilia hiyo tigo basi hakikisha wanaijaza smatifonii, mimi sijapungua hivyo sitaki kujazwa
Yaani niko hapa nimekaribishwa kwa jirani kuna kijishughuli, lakini naona maneno ni mengi kuliko matendo, yaani hadi muda huu hata sisiskii harufu ya msosi, wala TBL.
Au sijajua ukute wameshaanza utangulizi wa ramadhan