BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Hakika hata Tanzania ndio tunakoelekea,ada ya chekechea ni kubwa kuliko ya chuo kikuu,maziwa,mavazi,chakula,Mungu atusaidie tuwalee kimwili na kiroho .
Alienda wapi?
Nimefuatilia sana hili jambo ,bado najifunza
18 months ni mwaka mmoja na nusu ,aliishije?
Wachina wamenishinda tabia,hata wao ni fake
Na kwako piaTuwe na siku njema wakuu...
Nimeamka salama Blessed. Uwe na siku njemaBWANA asifiwe sana ,umeamshwaje?ubarikiwe uwe na siku njema,yenye furaha na mafanikio[emoji253] [emoji253]
Nipo mama mchuchu ..mbona mtanichokaa nisharudiiiiAmen,upo Lee ?karibu sana we miss you Ubarikiwe siku njema[emoji120]