Makapuku Forum

7/Masazir Lake
Linapatikana huko Azerbaijan
Sababu kuu ni uwepo wa chumvi kupiga kiasi pamoja na madini ya sulphur
Shughuli kuu inayofanyika ni uchimbaji wa chimvi
.......
 
5/Salina De Torrevieja Linapatikana huko Hispania
Lipo kwenye uelekeo wa bahari ya Mediterrania
Lina kiwango kidogo tu cha chumvi
Ni miongoni mwa Ziwa la Waridi linalovitia zaidi duniani na Ulaya kwa ujumla
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…