8/
Quiarading Pink Lake
Linapatikana huko Australia
Kwa kugundua kwamba linavutia watalii wameamua kupitisha barabara kati kati
Rangi ya waridi huweza kuonekana pande zote za barabara kwa mwaka mzima
Muonekano wake ni km kafimbwi tu lakini ni Ziwa
......