Makapuku Forum

Ha hahahahah, na hasa pilipili. Ukienda kula kwenye migahawa yao wanakuuliza, kwa kiwango cha 1-5 utapenda pilipili iweje kwenye oda yako? Binafsi nikasema 2 na ikawa balaa tupu nikajiuliza anayetaka 5 huo msosi unakuwaje
Umgetaja 5
Samtaimu # huenda kinyume
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
 
Nyagei naomba summary
Huku ni amani kabisa
Full utani
Utapata elimu na burudani non stop

Asubuhi utapata neno la uzima kuna magazeti na historia +picha
Baadae kuna Je wajua na ratiba za michezo
Kisha story
Na jioni utapata 10 bora na neno la uzima kisha burudani ya muziki mzuri wa kulalia.


BTW nisikuchoshe na maneno mengi
Unatumia sharubati gani nikuletee
 
una stahili kuwa msemaji wa Makapuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…