Makapuku Forum



Karibu makapuku, kwa kuanzia 'wholesome water' yaani maji ya jumla ni maji yenye kujumlisha potable water na palatable water.

Potable water yanatokana na maji yaliyo kwenye mtungi, yaani a pot, haya mara nyingi huwa yamechemshwa, kuwekewa 'shabu', yananuka moshi lakini hayana shida kunywa.

Palatable wota ni maji ambayo hayana hivyo nilivyotaja hapo juu, haya yako kwenye mazingira mazuri hayana harufu wala ladha yoyote ni maji tena ni ya bure (kwa sauti ya Kingwendu)

 
Uchambuzi murua kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…