Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Hii gemu ilionekana mapema mshindi nan
Hadi sasa Juve keshaingia fainali kumfuata Real Madrid
.
.
Kwa kufuli wanalolifunga Wataliano sioni Monaco akiambulia hata magoli pamoja
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Asante shemelashemela hongera sana
[emoji4]napumzika kdgo jaman nizoee mazingira
Hili swali lako gumuNi pale pale ileje ni nini
Cc LeeKumbuka nilikwambia huu ugomvi siwezi kuamlia ila nitakupa mbinu za ushindi
BaelezeeDada mbona nikipiga kilugha na mama mchungaji huwa hamshangai?
Mtoto wa watu, nimecheka sana aiseedaaaah huruma, masikini we mtoto wa watu
NimeishajibiwaHili swali lako gumu
Akiweza kumudu kupiga kampeni za uhakika kama akilegea kuna vijana wana mistari mikali mapaka wanamwamishia kwaosawa kaka tutafurahi ukiwa shemeji kwa shemela wangu usituue
[emoji4]Pumzika kidogo,niwekee juis kidogo wakati namalizia kuangalia mpira
Walikuwa hawajakuelewa papaNakana nini?.....nimesema kumbe Mgeni ni mdogoake Mama Mchungaji
hahahaha mkuuMtoto wa watu, nimecheka sana aisee
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mkuuMuda bado
All the time God is good
Unaota?SAA 6saivi simameni nyote muimbe wimbo wa taifa
Harafu umemkimbiza shemela wanguhahahaha mkuu
Daaah vyakula vya dar ni hatari kwa afyaNimempatia burger [emoji488] na juis kwanza
Papa hili swali lako ni tata kidogo mbona mmemsakama na maswaliUnamjua huyo?
Naona mnaleta za kuleta au nimwambie agome kuja kwenye jimbo lakoHapo sasa, ila nimepata shemela humu humu [emoji3] [emoji3]
MmhAnakosa alichonyimwa
All the time God is good