Makapuku Forum

Sasa kuna kipindi natoka Songea mida ya asubuhi kama saa mbili hivi tupo kwenye basi kipima joto kinaonesha ni nyuzi joto 5 ghafla nikamuona mtoto age ya 3-5 yuko kifua wazi anacheza nilishangazwa sana
Kule kawaida sana mi nimelala sana pale njombe mjini nilikuwa naamka saa nne jua likiwa limesha punguza nguvu ya baridi

Badae nikawa naenda kiwanda cha karatasi mgororo nikakuta hali ni ileile baridi mtindo mmoja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…