Makapuku Forum

Kwako Mpenzi BlessedHope,

Salaam, ama baada ya salamu napenda kukujulia hali yako ewe kipenzi cha moyo wangu uliye mbali na upeo wa kiibodi siku za hivi karibuni. Ama kwa hakika ukimya wako umekuwa pigo kubwa sana kwangu. Nakuomba mara upatapo ujumbe huu unifahamishe kama nina nafasi katika moyo wako.

Wako katika mapenzi ya Kiibodi,
Rogie
 
Did you know
Je wajua
Makapuku ndio uzi wa kwanza kutazamwa na watazamaji zaidi ya 2m
Sio kweli
Ungesema labda Jukwaa la Chitchat au ambao umechukua muda mfupi

Kiuna uzi unaitwa African Satellite World umewekwa sticky Jukwaa la tech nao uliishafikisha Milioni 2
Kuna Uzi unahusu kubet una Milioni 3
Hizo zilifikisha kitambo tu


Pia zipo thread km Man Utd fans na watani zake zina views milioni moja na kitu

Uwe unazunguka na majukwaa mengine
.....
 
Kiibodi au kibodi?
 
Reactions: Lee
Nitajitahidi mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…