Makapuku Forum

Mama mchungaji uzidi kubarikiwa
 
Scramble end patition ishamalizika humu?[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Mondray kashakabidhiwa colon lake ??
Ahaaaah humu bado tunafaidi wachache

Mondray bado

Mkubhi kaamuaa awe single

Shedede inspector anatapatapa

Baba paroko naye eti ni bahili

Shunie & lee empire kama kawaida kimubashara

Sakayo & Transcend yanang'ara
 
hahaha tatizo mmejimilikisha kinyume cha taratibu [emoji1] [emoji1] [emoji1]

inabidi tutangaze za buni upya maana mdogo wangu mondray anatapa tapa tu hajui pakushika

Na kweli mnafaidi wachache tu mali za uma
 
Mkuuu acha tufaidiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…