Nakumbuka zamaan tupo watto tukiona albino tunajitemea mate kwenye kifuani et nikiwa mkubwa nisije kuzaa utoto bwana
Ni wazuri wakitunzwa vizuri...
Tuwapende, tuwatunze, tuwajali na Tuwalinde..
NAO NI BINAADAM WENZETU.
Hello Cutie shunie!ila jaman kwenye chips zipo naonaga sna
atakua kafurahi kumuona jerry bado tommy muwekee
hahahahahhaHahaha
Mie ikibidi ntachomoka na wale partners wa kucheza kwaito...
Yaani niote vigimbi ntoke kapaa, hapana aisee
Ka avatar kapoje¿atakua kafurahi kumuona jerry bado tommy muwekee
We unaonaga chill banaila jaman kwenye chips zipo naonaga sna
Kiukweli napenda sana Albino one day nitaenda kumchukua kule wanapowalea niishi nao..Nakumbuka zamaan tupo watto tukiona albino tunajitemea mate kwenye kifuani et nikiwa mkubwa nisije kuzaa utoto bwana
HongeraKiukweli napenda sana Albino one day nitaenda kumchukua kule wanapowalea niishi nao..
asante joshy mzima lkn heri ya pasakaHello Cutie shunie!
Miss you so much!
mondray siku yako itakua imeenda sawa umeshawekewa
we si umeipenda ipo poaKa avatar kapoje¿
Niko poa sana shunie! Heri ya pasaka na kwako piaasante joshy mzima lkn heri ya pasaka
kwahyo mm bashite sijui chili sijui mayonaise huku n dar ujueWe unaonaga chill bana
Mungu akusaidie utimize lengo lako [emoji120]Kiukweli napenda sana Albino one day nitaenda kumchukua kule wanapowalea niishi nao..
Awe anaweka muda wote sasamondray siku yako itakua imeenda sawa umeshawekewa
Mmhuu wewe si ndio kioo changu..we si umeipenda ipo poa
nashkuru Mungu kaka angu inaisha salama sijui kwakoNiko poa sana shunie! Heri ya pasaka na kwako pia
KhaaaAwe anaweka muda wote sasa