nimeingia tu kapuku nakutana na ujumbe wako
nimekumiss pia lee wangu
nakupendaa nakupendaa yaan nakupenda wewe tu cheusi wangu
nikutakie usiku mwema ulale salama unijie ndotoni kama kawaida hii hali ya hewa acha i wish ungekuepo ndio hivyo ila jua nipo nyuma yako