Muwe na jioni njema mashemeji na dada angu na mama mchungaji
hii hali ya hewa ya leo jamaan acha tu lee wangu nimekumiss tu natamani ungekuepo tujifunike shuka moja nakupenda sanaa
acha tu niendelee kulala
nawapenda kapuku wote mbarikiwe sana
tutaonana badae