Makapuku Forum

Mke wanguu...

Time to sleeeeeep now! Lets go babe..

Ulale unono sakayo wangu!

Usinzia uniotee...


Mungu akulinde mke wangu..

I love you my everything..

Usiku mwema
Bae
Nawe pia ulale salama!!! Mungu wangu na akufunike kwa damu yako.

Nakupenda mpaka moyo wangu wasukuma tu jina lako umegoma kusukuma damu, T naamini wewe ndo mwanaume wa maisha yangu.

Nazidi kukupenda
 
Hakika Upendo una thamani kubwa katika maisha ya binadamu..nawapenda sana makapuku mbarikiwe.
 
R.I.P STEVE JOBS
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…