Makapuku Forum

Good morning all kapuku ,ni Siku nyingine tena Mungu katujalia kuiona na nashukuru sana kwa upendo wenu

Naomba mtuweke kwenye maombi yenu make mpenzi kipenda roho changu shunie mungu akijaria Leo au kesho mnaweza mpata anko naona kaamka na uchungu ila shaka ondoa najua Sara zenu naamini atakuwa poa

Niko mbali nae kidogo ila nshaanza safari ya kuelekea hospital aliyopelekwa ..nafikiri mlijua ni utani wa humu kapuku ila ni kweli mm na shunie ni wapenzi kabisa ndo maana wengine wanaona nina wivu

Soon tutayapitia magazeti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…