Makapuku Forum

Nilikua sina account. Nilikua napita nawaangalia tu na kuwasoma,ila we ni star nimekuona majukwaa mengi humu,mpaka siasani hua nakuchungulia na akina niffah,kwa mkuu The bold intelejensia kope zangu huwa zinakupitia sana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…