Makapuku Forum

Lakini na mimi nimeiva
 
Ukikaa seat moja na mdada kwenye daladala au tax akaanza kukuangalia anatabasam ,,,,nakushauri usitabasam,,,

Narudia tena usitabasam mpaka pale atakapolipa nauli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Maisha magum siku hizi
 
Maisha magumu jamani
Watu wametafuta wapenz wamekosa
Wakaamua kujiita wachungaji
Haya bwana endeleeni
Sio magumu ila ni uamuzi tu humu ndani zaidi ya nne nani azibariki mama mchungaji yupo busy mimi nimejitolea kwa roho moja ili nizibariki
yote ni kwa sababu ya emmyta
Si kwa sababu yake ni roho mtakatifu kaniingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…