Kiukweli umenibalmba Ukhuty
Sina unanja tena.
Ukinipa nafasi sitatoka kwako
Mbona ndo nimekivaa honeyVaa kile kigauni chako cha kichokozi leo basi...
Watoto mlale sasa..
Mnooo yaannaamini mko vizuri makapuku
Sio kuonja ni kulaUlisha uhonja huo utamu 😀😀😀😀😀
Daaah naanza kupapenda tena kapuku ajili yako bibie.Na huwa sin ratib ya kutoa watu ukiingia umeingiaa
Unamaanisha nini maana kama bile ni mafumboWewe ni kama mmasai, ukisikia mvua zinanyesha Moro unaenda, ukisikia Koromije kuna nyasi nzuri unafunga safari, anyway napita, good luck buddy
hahaha atakua kapewa hajipag ban malkiaMalkia kajipa ban la muda tu
wanapeana kampan eti na ukhutyHivi mondray ana date na nani sasa hivi?
[emoji23][emoji23][emoji23]Mondray simuelewi manake kila mahali nikipita namkuta anapiga na niliu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shemela mbona una utani unaoendana na ukweliMambo ya kufua shuka kila siku [emoji41][emoji41]
halaf unajua ukhuty msambaa mwenzangu kwetu wote tanga hongera snaHahaaaa
Toto flani hivi amazing hadi mwenyewe najionea wivu. Nyagei na kundi lake watasubiri sana
unaumwa nn DadaNiambie
Siko Poa
mm apakuna mtu nimesikia ana hamu ya kukesha hapa....!!
habari gani wakuu
Mambo yako na lee...akusaidia na kufua basi...sio kukujia ndotoni tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shemela mbona una utani unaoendana na ukweli
hahaha mlinzi wa lee ananibana acha tu shemela lee kapata mlinziIla huu ugomvi wa ndugu ngoja nikae mbali kwanza kidgo..!
Dada hivi naanzaje mmAnataka kuchepuka
Nampenda ukweli huyo ndugu yako.halaf unajua ukhuty msambaa mwenzangu kwetu wote tanga hongera sna