Hahahaaaaa.. Acha kunizeesha wewe hivi kumbe rais mugabe zile account zake ni fake? Uzee mwisho chalinze mjini kila mtu baby. Halafu nyinyi vijana acheni tabia ya kutubagua nyinyi sisi wazee Bila sisi nyinyi msingekuwepo etii.