Asante mpendwa wangu Mungu ni mwema tunaendelea vizuri sasa.BlessedHope, pole mwaya.
TupoooMpooo
Vizur [emoji106]Tupooo
Najutia kura yangu mie bora ningempa hashimu rungwe
Kauli ya namba moja Tanzania...Watanzania tumejikita sana kwenye Maswala ya umbea, ambayo hayatupunguzii njaa, hayatupunguzii umaskini, hayatupunguzii matatizo ya elimu.
Mnajisumbua na vipost vyenu, kana kwamba mnanipangia mimi, mimi sipangiwi tena ukinipangia ndio kabisa naacha, mimi ndio Rais hakuna wa kunipangia cha kufanya, nilipoenda kuchukua form hakuna alienipangia
Hakuna wakunipangia nani nimuweke wapi, mimi ndo napanga fulani anakaa wapi, kwahiyo "Makonda" wewe chapa kazi,Chaps kaziii na hapa kazi tu... achana na hayo yanayosemwa kwenye mitandao ww piga kazi tu... Hapa kazi tu! Hakuna wa kunionyesha mimi njia ya kupita, chama changu cha CCM kilishanionyesha njia!
Rais JPM jumatatu Machi 20.2017
Kwa hiyo na akili zako ulipigia kura ccm??Najutia kura yangu mie bora ningempa hashimu rungwe
Nimerudi kwa ajili yakoMpooo
Usijute just take as a mistake you made so now umejifunza that's itNajutia kura yangu mie bora ningempa hashimu rungwe
UsimlaumuKwa hiyo na akili zako ulipigia kura ccm??
baby na ww ulimpigia mzee wa mabadiliko kama mmKwa hiyo na akili zako ulipigia kura ccm??
hahahhhhh mjanja kama ww ulipiga hukoNajutia kura yangu mie bora ningempa hashimu rungwe
[emoji15] [emoji3]baby na ww ulimpigia mzee wa mabadiliko kama mm
Uniongoze? Kwa minajili gani? Unaniongozaje sjaelewa?Kukuongoza humu ndani