Napata Shaka kwa wachezaji wa Leicester city kumsulubu Claudio Rainier...... Hapa wameirudisha ile speed, master power, zile master pass, ile team work.....
West Ham united uwanja wenu mpya unaendelea kuwagonga nyundo zenu wenyewe..... Nammisi sana Dimitri katika zile gonga gonga nyundo za mipira ya kutengwa.